tabia-inavyoendelezwa

Jinsi Tabia Inavyoendelezwa

Soma posti hii kwa dakika 4 (makadirio)‘… in the next 24 hours I will send you my project proposal…’. Hiyo ilikuwa ni sehemu ya email niliyokuwa nimemwandikia mmoja wa wateja wangu watarajiwa. Alikuwa ni mtu ambaye alisikia juu ya kazi zangu, akanitafuta na hatimaye tukakutana kuongea juu ya jinsi ninavyoweza kutoa…