njia-kushinda-kuahirisha

Njia 5 za Kushinda Kuahirisha

Soma posti hii kwa dakika 3 (makadirio)Baada ya kuangalia sehemu ya kwanza na ya pili ya mfululizo huu, leo tumalizie kwa kuangalia sehemu ya tatu na ya mwisho. Katika posti mbili zilizopita tuliangalia tatizo la kuahirisha kwa ujumla na vyanzo vyake. Leo tuangalie njia za kushinda kuahirisha, njia ambazo zinatokana na…