chanzo-cha-kuahirisha

Chanzo cha Kuahirisha

Soma posti hii kwa dakika 4 (makadirio)Nianze kwa kukukumbusha kuwa huu ni mwendelezo wa mada tuliyokwishaianza. Hivyo ili uielewe ni vizuri kuanza na sehemu ya kwanza. Nimekuja kugundua kuwa chanzo cha kuahirisha kufanya kile ambacho nimepanga kwa sehemu huwa ni kuwa na imani potofu kwamba kesho/baadae nitapata muda bora zaidi ama…