kwa-nini-kuahirisha

Nimechoka Kuahirisha

Soma posti hii kwa dakika 3 (makadirio)Email inaingia kwenye inbox yangu, kichwa chake kinasema, ‘Your domain nilichojifunza.com expires in 29 days’, ikimaanisha anwani ya mtandao ya tovuti yangu ya nilichojifunza.com inafikia muda wa mwisho wa matumizi baada ya siku 29. Kwa maneno mengine napaswa kulipia anwani hiyo ndani ya siku 29…